74,215 posts
1.9m followers

| Kwa Habari za Udaku | Michezo | Kama Una Habari au Unahitaji Ushauri Tuma DM | Pia Download App Ya Udakutz Kwa Habari zaidi ➡ Bonya Link hii

https://goo.gl/HNp5ep
@mauasama na @iambenpol Mambo ni motoooo!!! Ukaribu wao na Mapozi katika picha hii ni utata mtupuu. 
Je ni wapenzi au Kiki??? TOA MAONI YAKO HAPA
@udakutz_ Udakutz.
@udakutz_
@mauasama na @iambenpol mambo ni motoooo!!! ukaribu wao na mapozi katika picha hii ni utata mtupuu.
je ni wapenzi au kiki??? toa maoni yako hapa
20 1 in 4 minutes
Mwekezaji wa Kiwanda cha Kiluwa Steel kilichopo Kiluvya Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Muhamed Said Kiluwa anashikiliwa na TAKUKURU kwa tuhuma za kumpa hongo Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi. 
TOA MAONI YAKO HAPA
@udakutz_ Udakutz.
@udakutz_
Mwekezaji wa kiwanda cha kiluwa steel kilichopo kiluvya wilaya ya ubungo jijini dar es salaam, muhamed said kiluwa anashikiliwa na takukuru kwa tuhuma za kumpa hongo waziri wa nyumba na maendeleo ya makazi mh. william lukuvi.
toa maoni yako hapa
34 2 in a minute
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameibuka mshindi wa tuzo ya Afrika katika masuala ya uchumi.

Makamo mwenyekiti wa kamati ya tuzo ya ukombozi Afrika, Mwebesa Rwebugia ameieleza BBC kwamba rais Magufuli ameibuka mshindi kutokana na mchango wake wa kiuchumi hasaa katika ukuaji wa miundo mbinu.

Hii ni mara ya pili kwa kiongozi wa Tanzania kupata tuzo hii, baada ya Mwalimu Julius Nyerere kutuzwa pia kutokana na mchango wake wa kuleta uhuru katika nchi za Afrika.

Mwebesa Rwebugia ameeleza kuwa, katika kuegemea kwenye muktadha wa uchumi, kamati iliangalia umaskini ambao unatajwa kuwa adui mkubwa anayefahamika, lakini pia maradhi na ujinga.

Kwa mujibu wa kamati hiyo ya Tuzo ya Ukombozi wa Afrika, ukombozi katika kipengelee cha elimu huangazia elimu na ujinga kama sehemu ya ukombozi.

Tanzania imetolewa mfano wa elimu ya bila malipo kutoka kutoka shule za msingi mpaka sekondari. 
COMMENT NENO LA **HONGERA KUMPONGEZA MH RAIS JPM
@udakutz_ Udakutz.
@udakutz_
Rais wa tanzania john pombe magufuli ameibuka mshindi wa tuzo ya afrika katika masuala ya uchumi.

makamo mwenyekiti wa kamati ya tuzo ya ukombozi afrika, mwebesa rwebugia ameieleza bbc kwamba rais magufuli ameibuka mshindi kutokana na mchango wake wa kiuchumi hasaa katika ukuaji wa miundo mbinu.

hii ni mara ya pili kwa kiongozi wa tanzania kupata tuzo hii, baada ya mwalimu julius nyerere kutuzwa pia kutokana na mchango wake wa kuleta uhuru katika nchi za afrika.

mwebesa rwebugia ameeleza kuwa, katika kuegemea kwenye muktadha wa uchumi, kamati iliangalia umaskini ambao unatajwa kuwa adui mkubwa anayefahamika, lakini pia maradhi na ujinga.

kwa mujibu wa kamati hiyo ya tuzo ya ukombozi wa afrika, ukombozi katika kipengelee cha elimu huangazia elimu na ujinga kama sehemu ya ukombozi.

tanzania imetolewa mfano wa elimu ya bila malipo kutoka kutoka shule za msingi mpaka sekondari. 
comment neno la **hongera kumpongeza mh rais jpm
66 10 just now
😂😂😂😂weka comment yako hapa
@udakutz_ Udakutz.
@udakutz_
😂😂😂😂weka comment yako hapa
234 21 7 minutes ago
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Paul Clement @paulclementofficial anakukaribisha katika ibada ya Amani Worship Experience (AWE) 🙌🏿🙌🏿🔥🔥 #AweliverecordingDVD #AweDVDliverecording 
Tar 22/July 2018
Saa 8 mchana 
ROC - Sinza, Mori 
Tickets:
20,000 VIP
10,000 kawaida 
Mawasiliano 
0719 367002
0622 337338
@chomozanews
@fisherrecords
@lamasias
@paulclementofficial
@udakutz_ Udakutz.
@udakutz_
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥paul clement @paulclementofficial anakukaribisha katika ibada ya amani worship experience (awe) 🙌🏿🙌🏿🔥🔥 #aweliverecordingdvd #awedvdliverecording
tar 22/july 2018
saa 8 mchana
roc - sinza, mori
tickets:
20,000 vip
10,000 kawaida
mawasiliano
0719 367002
0622 337338
@chomozanews
@fisherrecords
@lamasias
@paulclementofficial
82 3 11 minutes ago
@huddahthebosschick 🔥🔥
@udakutz_ Udakutz.
@udakutz_
@huddahthebosschick 🔥🔥
127 5 13 minutes ago
Mashabiki katika mtandao wa Instagram wamecharuka baada ya kuona picha inayomuonyesha muimbaji maarufu nchini Tanzania, Diamond Platnumz akiwa amevaa cheni mguuni (kikuku). Mapema leo muimbaji huyo ambaye yupo nchini Marekani kwenye tour ya ABoy From Tandale, alipost picha zake mpya kupitia mtandao huo huku moja katika mguu wake wa kushoto akionekana kama amevaa kitu kinachohisiwa ni cheni.

Baada ya kuona picha hiyo mashabiki wengi kupitia instagram wamekasirishwa na kitendo hicho kwa madai hakiendani na tamaduni za Kitanzania.

Haya hapa chini ni maoni ya mashabiki hao, hata wewe unaweza kutoa maoni yako kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii.

Makerahabiba
Mm mmmm hadi kikuku huko sio kabisa jaribu kumtafakari na mwenyez mungu juu ya ukuu wale Leo ni raha kuvaa herein .kikuku je je ukirejea kweke mungu utamjibu kitu gani … CIO poa.

diamondpletnumz
Kwani kikuku maana yake nin? Mimi kwa mtazamo wangu nipambo kama pambo jingine tu , then kuhusu maana ya kitu hua inatengenezwa na mtu mweenyewe nikama vile kisu unaweza kukitumia kukatia nyanya na vitunguu au ukaamua kumdunga mtu

lemon_spiceup

Man_ada sio uteam..kwani huyo Si MTU mzima mtampangiaje maisha…kaamua ni yeye..who are u kumwambia what to do…tatizo wabongo chokochoko nyingi…jifunzeni kwa wazungu wenzenu kila MTU ana maisha take…who are u to judge someone wewe mangapi unafanya ambayo sio sahihi..eti?. ishamwinyi2454.

Heee!!!😨😨😨 kikuku tenaaa!😭😭😭 innaalillah wainnaailah rajiun yaaAllah tujaaliye mwisho mwema waja wako kwan ss ni wadhalimu kwako na kwako tutarejea.

WAnaxhangaaa

Kikukuu wakat shanga unazo kiunon hawajui bila kumkatikia mzee baba pesa aziingiii😂😂😂👌👌 waambie saiv utuumii nguvu kubwa kujikaza toilet 😁😁🙌. uwalymussa
Wachokozi Na vikuku haya sindio Mwenenu kazi kwenu Wazee wa Modo zakubana cjui vikondomu Mama yenu Ameanza watoto mutafata Sio wakwetu huyo Kiumeni hatuna Tamaduni hizi
@udakutz_ Udakutz.
@udakutz_
Mashabiki katika mtandao wa instagram wamecharuka baada ya kuona picha inayomuonyesha muimbaji maarufu nchini tanzania, diamond platnumz akiwa amevaa cheni mguuni (kikuku). mapema leo muimbaji huyo ambaye yupo nchini marekani kwenye tour ya aboy from tandale, alipost picha zake mpya kupitia mtandao huo huku moja katika mguu wake wa kushoto akionekana kama amevaa kitu kinachohisiwa ni cheni.

baada ya kuona picha hiyo mashabiki wengi kupitia instagram wamekasirishwa na kitendo hicho kwa madai hakiendani na tamaduni za kitanzania.

haya hapa chini ni maoni ya mashabiki hao, hata wewe unaweza kutoa maoni yako kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii.

makerahabiba
mm mmmm hadi kikuku huko sio kabisa jaribu kumtafakari na mwenyez mungu juu ya ukuu wale leo ni raha kuvaa herein .kikuku je je ukirejea kweke mungu utamjibu kitu gani … cio poa.

diamondpletnumz
kwani kikuku maana yake nin? mimi kwa mtazamo wangu nipambo kama pambo jingine tu , then kuhusu maana ya kitu hua inatengenezwa na mtu mweenyewe nikama vile kisu unaweza kukitumia kukatia nyanya na vitunguu au ukaamua kumdunga mtu

lemon_spiceup

man_ada sio uteam..kwani huyo si mtu mzima mtampangiaje maisha…kaamua ni yeye..who are u kumwambia what to do…tatizo wabongo chokochoko nyingi…jifunzeni kwa wazungu wenzenu kila mtu ana maisha take…who are u to judge someone wewe mangapi unafanya ambayo sio sahihi..eti?. ishamwinyi2454.

heee!!!😨😨😨 kikuku tenaaa!😭😭😭 innaalillah wainnaailah rajiun yaaallah tujaaliye mwisho mwema waja wako kwan ss ni wadhalimu kwako na kwako tutarejea.

wanaxhangaaa

kikukuu wakat shanga unazo kiunon hawajui bila kumkatikia mzee baba pesa aziingiii😂😂😂👌👌 waambie saiv utuumii nguvu kubwa kujikaza toilet 😁😁🙌. uwalymussa
wachokozi na vikuku haya sindio mwenenu kazi kwenu wazee wa modo zakubana cjui vikondomu mama yenu ameanza watoto mutafata sio wakwetu huyo kiumeni hatuna tamaduni hizi
242 9 15 minutes ago
Ukihitaji kama hii piga 0658184797 au follow @bongodeco @bongodeco karibu ofisini kwetu Magomen mapipa mtaa wa idrisa upo upande wa kushoto kama unatoka kariakoo au jangwani
@udakutz_ Udakutz.
@udakutz_
Ukihitaji kama hii piga 0658184797 au follow @bongodeco @bongodeco karibu ofisini kwetu magomen mapipa mtaa wa idrisa upo upande wa kushoto kama unatoka kariakoo au jangwani
72 4 20 minutes ago
@udakutz_ Udakutz.
@udakutz_
"nataka igp aje aniambie kama polisi wamesalimu amri kwa majambazi ndiyo maana mabasi hayatembei usiku, biashara saa 12 zinafungwa, ukiuliza unaambiwa sababu ya usalama, igp aniambie kama majambazi ndio wanatupangia pakwenda na wapi tusiende".
***ameyasema hayo waziri lugola
382 25 24 minutes ago
Mwanasoka bora chipukizi katika michuano ya kombe la dunia Kylian Mbappe ametoa msaada wa fedha zote alizolipwa kutokana na ushiriki wake katika michuano hiyo - kiasi cha $550,000 (takribani billioni 1.3) ambazo zinatokana na malipo ya posho pamoja na bonasi ya kushinda kombe la dunia .
:
Fedha hizo amezitoa kama msaada kwenye kituo ambacho kinatoa bure huduma za michezo kwa watoto wasio na uwezo wa kumudu gharama pamoja na wanamichezo watoto wenye ulemavu nchini Ufaransa.
@udakutz_ Udakutz.
@udakutz_
Mwanasoka bora chipukizi katika michuano ya kombe la dunia kylian mbappe ametoa msaada wa fedha zote alizolipwa kutokana na ushiriki wake katika michuano hiyo - kiasi cha $550,000 (takribani billioni 1.3) ambazo zinatokana na malipo ya posho pamoja na bonasi ya kushinda kombe la dunia .
:
fedha hizo amezitoa kama msaada kwenye kituo ambacho kinatoa bure huduma za michezo kwa watoto wasio na uwezo wa kumudu gharama pamoja na wanamichezo watoto wenye ulemavu nchini ufaransa.
279 5 29 minutes ago
WAZIRI LUGOLA AMCHARUKIA SIRRO KUHUSU MABASI KUTOFANYA KAZI NYAKATI ZA USIKU :
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mh. Kangi Lugola, ametoa muda wa siku 14 kwa Inspekta Jenerali wa Polisi, IGP Simon Sirro kufika ofisini kwake kumueleza mikakati ya kuwawezesha Watanzania kufanya kazi kwa saa 24 ikiwa ni pamoja na kuzuia matishio ya mabasi kutembea nyakati za usiku.

Waziri Lugola ametoa agizo hilo mara baada ya kufanya ziara ya kikazi katika makao makuu ya kikosi cha kutuliza ghasia kilichopo Ukonga Jijini Dar es Salaam na kuongea na Askari wa Kikosi hicho na wale wanaohudumia katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.

Wakati  akitoa agizo hilo, Mhe. Lugola amesema kuwa ili kufikia Uchumi wa kati Watanzania wanatakiwa kufanya kazi za kiuchumi kwa masaa 24 hivyo IGP anapaswa kumhakikishia mikakati ya jeshi lake katika ushiriki wao wa kuwapatia  watanzania usalama kwa muda wotewakifanya shughuli hizo za kiuchumi.
@udakutz_ Udakutz.
@udakutz_
Waziri lugola amcharukia sirro kuhusu mabasi kutofanya kazi nyakati za usiku :
waziri wa mambo ya ndani ya nchi, mh. kangi lugola, ametoa muda wa siku 14 kwa inspekta jenerali wa polisi, igp simon sirro kufika ofisini kwake kumueleza mikakati ya kuwawezesha watanzania kufanya kazi kwa saa 24 ikiwa ni pamoja na kuzuia matishio ya mabasi kutembea nyakati za usiku.

waziri lugola ametoa agizo hilo mara baada ya kufanya ziara ya kikazi katika makao makuu ya kikosi cha kutuliza ghasia kilichopo ukonga jijini dar es salaam na kuongea na askari wa kikosi hicho na wale wanaohudumia katika uwanja wa ndege wa julius nyerere.

wakati  akitoa agizo hilo, mhe. lugola amesema kuwa ili kufikia uchumi wa kati watanzania wanatakiwa kufanya kazi za kiuchumi kwa masaa 24 hivyo igp anapaswa kumhakikishia mikakati ya jeshi lake katika ushiriki wao wa kuwapatia  watanzania usalama kwa muda wotewakifanya shughuli hizo za kiuchumi. "nataka igp aje aniambie kwamba je, jeshi la polisi limesalimu amri kwa majambazi ndiyo maana mabasi hayatembei usiku, lakini biashara mbalimbali ikifika saa 12 zinafungwa, ukiuliza unaambiwa ni kwa sababu ya usalama, nataka igp aniambie kama majambazi ndio wanaotupatia amri...hatuwezi kukubali kupewa amri na majambazi ni masaa mangapi tunatakiwa kuganya shughuli za kiuchumi au kupangiwa maeneo ya kwenda na wapi tusiende," waziri lugola.
toa maoni yako hapa.
751 62 59 minutes ago